
KAMATI Kuu ya CCM Taifa iliyoketi mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti na Rais Samia leo Septemba 10, 2021 imempitisha Emmanuel Cherehani, kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Ushetu katika uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia alikua Waziri wa Ulinzi Elias Kwandikwa kufariki.