×

Kajala Ampa Gwala Mkwe Wake

MAMA mzazi wa mpenzi wa Rayvanny, Paula ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameendelea kuonesha support kubwa kwa mkwe wake, Rayvanny, mara baada ya Rayvanny kumtambulisha Macvoice kama msanii wa kwanza katika lebo yake mpya ya Next Level Music.

 

Kajala kupitia akaunti yake ya Instagram amempost Macvoice na kusindikiza na caption; “All the best @macvoice_tz 24/09/202 🔥 NLM FIRST BORN @rayvanny @nextlevelmusic_tz…”

 

Dondosha maoni yako hapa.

Leave a Comment