×

Jay Z Aweka Historia Yakutisha Tuzo Za Grammy

 

Nyota wa muziki wa Hip Hop Duniani, Shawn Corey Carter ,maarufu kama Jay Z,  ameweka historia  baada ya kutajwa kuwania mara nyingi zaidi katika tuzo za Grammy amabazo zitafanyika mwakani,  hadi sasa ametajwa mara 83 akimuacha nyuma mtayarishaji Quincy Jones aliyetajwa mara 80.

 

Rappa huyo mzaliwa wa Brooklyn ni mshindi mara 23 wa tuzo za Grammy na kwenye tuzo hizo ametajwa kuwania kupitia vipengele vitatu ambavyo ni (Best Rap Song),DMX,  Jay-Z, Nas – Bath Salts Kanye West,  Jay-Z – Jail (Album Of The Year) kwenye albamu hii ya Donda Jay Z ametajwa kama mshiriki katika album ya kumi ya Kanye West ambayo ni Donda.

 

Leave a Comment