
Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. Bill Kiwia, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Dkt. Kiwia anachukua nafasi ya Abdul-Razaq Badru aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)
