×

Kikosi cha Yanga Chatua Mbeya Leo

Kikosi cha Yanga leo Novemba 28, 2021 kimefika salama mkoani Mbeya tayari kwa maandalizi ya mchezo wao wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Mbeya Kwanza, Jumanne kwenye Uwanja wa Sokoine.

Leave a Comment