

Mchana wa leo Januari 30,2022 katika eneo la Lufungila,Mwengei jijini Dar es Salaam nguzo za umeme pamoja na Transfoma zimeanguka katika eneo hilo kusababisha barabara ya watembea kwa miguu kutokupitika.
Mtandao huu licha ya kuanguka kwa nguzo hizo pia umemnasa paparazi wa kizungu akichukua tukio hilo kama inavyoonekana katika picha.