×

Hatimaye Simba Wafuta Machozi kwa Tanzania Prison

Mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, Simba SC wamefanikiwa kupata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi kuu bara baada ya michezo 3.

 

Simba ambayo imepata ushindi wa goli 1-0 kwenye mchezo dhidi yao na Tanzania Prison kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

 

Goli la Simba limewekwa kambani na mshambuliaji Meddie Kagere kwa mkwaju wa penati dakika ya 69 ya mchezo.

Leave a Comment