×

Ahmed Ally Atema Cheche Simba Ikipaa Kwenda Niger-Video

KIKOSI cha wachezaji wa Simba na viongozi wao leo Februari 18, wameondoka kwenda Niger kwa ajili ya mchezo wao wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya USGN utakaochezwa Jumapili.

Leave a Comment