×

Mc Gara B Asimulia Alivyowaimbisha Wazazi Wa Nandy Na Billnas( Picha +Video)

 

MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Garab amesema amekuwa mbunifu siku zote katika kazi yake ili kuleta tija na kuzifanya sherehe anazoziendesha kuvutia na kuinekana za tofauti.

 

Akipiga stori na Global TV, MC Garab ambaye aliendesha hafla ya wasanii maarufu Bongo Nandy na Billnass kuvalishana pete za uchumba amefunguka namna alivyowaimbisha wazazi wa Nandy na Billnas.

 

“Ile moment niliitengeneza mwenyewe, nikamwambia mama yake Nandy aimbe verse moja ya Nandy, na akaimba, nikamwambia mama yake Billnass achane michano na akachana, kwa hiyo nimezitengeneza tu na ninajua ipo siku zitakumbukwa.

 

“Moment hizi hazikuwa kwenye scripts, wala hazikupangwa, nilikuja na idea tu na imeenda hivyo ikapendeza,” amesema Garab.

Leave a Comment