Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 22, 2022 amewasili mkoa wa Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022