×

Live Updates: Urusi Yatangaza Vikwazo Dhidi ya Biden

Urusi imemuwekea vikwazo Rais wa Marekani Joe Biden, wizara yake ya mambo ya nje inasema.

Wizara ya mambo ya nje ya Urusi inasema kuwa wamepigwa marufuku kuingia nchini humo kujibu vikwazo vya Marekani.

Vikwazo pia vimetanagazwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken, Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa Jake Sullivan na Mkuu wa CIA William Burns.

 

Leave a Comment