Kiwanda cha mikate kilichopo Mikocheni Industrial Area kikiungua moto muda huu, kinachoendelea kwa sasa ni shughuli za kuuzima moto huo na uokoaji.