×

Rais Samia Azungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa New York Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 17, 2022 amefanya mazungumzo na  Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohamed Jijini New York Nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Joyce Msuya Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibina Adamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu Masuala ya kibinaadamu, Jijini New York Nchini Marekani leo.

Leave a Comment