×

Makipa Wanne Wawania Glovu ya Dhahabu Kombe la Dunia 2026

Vita ya kuwania Glovu ya Dhahabu inaendelea kuwa kubwa kati ya walinda milango wanne ambao wanapewa nafasi kubwa kwenye Taji hili la Dunia. Timu zao huenda zikawabeba kufikia tuzo hizo. Je nani kuondoka na tuzo hiyo tarehe 19?

Emiliano Martinez, ni golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye amekuwa akifanya vyema kabisa kwenye majukumu yake ya Taifa. Ikumbukwe kuwa Martinez alishinda tuzo hii kwenye Taji la Dunia la 2022 ambapo walichukua Kombe hili. Jisajili hapa.

Si kwamba anacheza na Lionel Messi tuu, bali kinachomfanya awe bora zaidi ni kwamba anapenda mechi kubwa na mara nyingi huonekana akiwa mtulivu hata timu inaposhambuliwa mfululizo. 5.00 ndio Odds ya Golikipa huyu wa Aston Villa kuchukua tuzo hiyo.

Martínez mwenye michuano hii ya Taji la Dunia mwaka mwenyewe amekiri kuwa bado hajapata nafasi ya kuonyesha kiwango chake bora kama ilivyokuwa katika mashindano yaliyopita, akieleza kuwa hajalazimika kufanya saves nyingi za kuamua mechi. Hata hivyo, anaamini muda wake wa kung’aa unaweza kufika kadri mashindano yanavyoendelea.

Golikipa huyo bado ni mmoja wa makipa wanaowania kwa nguvu tuzo ya Golden Glove, si kwa sababu ya saves pekee, bali kutokana na uzoefu wake, utulivu, uongozi na uwezo wa kuamua matokeo katika nyakati muhimu. Je wewe nafasi ya kuchukua tuzo hii unaiweka kwa nani?.

Okoto mpunga wa maana leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Naye Jordan Pickford mlinda mlango wa Uingereza naye yupo kwenye walinda milango wanaowania tuzo hii akiwa kapewa Odds 4.50 na wakali wa ubashiri Meridianbet. Kipa huyo wa Everton ana uwezo wa kuokoa mashuti ya ghafla kutoka karibu na lango kwa ustadi mkubwa. Katika mechi za hatua ya mtoano, ameonyesha uwezo wa kuizuia Uingereza kupoteza mechi kwa kufanya saves muhimu katika nyakati ambazo wapinzani walionekana kuwa na nafasi za wazi za kufunga.

Lakini pia licha ya kusifika na uwezo wake wa kuokoa mipira, Pickford ni mmoja wa makipa bora duniani katika usambazaji wa mpira kwa miguu. Ana uwezo wa kupiga pasi ndefu zenye usahihi mkubwa ambazo mara nyingi huanzisha mashambulizi ya kushtukiza.

Uingereza imekuwa ikitumia silaha hii mara kwa mara, huku mipira yake mirefu ikiwafikia washambuliaji kama Harry Kane, Bukayo Saka na Jude Bellingham kwa haraka. Je Pickford anaweza akashinda tuzo ya Golikipa bora?. Tengeneza jamvi hapa.

Halikadhalika kwenye magolikipa bora huwezi kumuacha Unai Simon ambaye ni Mlinda Mlango wa Taifa la Hispania na timu ya Athletic Bilbao ambaye kwenye kinyang’anyiro cha kupigania tuzo hiyo baada ya kuendelea kuonesha kiwango kikubwa kwenye michuano hii.

Ni golikipa ambaye anatofautina na wengine kwa kiasi kikubwa kutokana na utulivu wake akiwa langoni. Mara nyingi hashawishiki na presha ya washambuliaji, jambo linalomwezesha kufanya maamuzi sahihi hata katika nyakati ngumu za mchezo. Ana uwezo mkubwa wa kusoma mwelekeo wa mashambulizi mapema, hivyo kujipanga vizuri kabla ya mpinzani hajapiga shuti.

Unai Simon pia ameweka rekodi kwenye Taji hili la Dunia kwa kutoruhusu bao kwa dakika 650 mfululizo ambapo kwenye mechi 6 alizocheza ameruhusu bao 1 pekee. Rekodi bora zaidi katika historia ya michuano hii kabla ya mfululizo huo kuvunjwa na bao la Charles De Ketelaere kwenye robo fainali dhidi ya Ubelgiji mcgezo ulioisha kwa woa kushinda wa 2-1. Je Unai anaweza akashinda tuzo hii?. Jisajili na ubeti Golikipa huyu kushinda kwa Odds 3.50.

Kwa upande mwingine naye Mike Maignan Golikipa wa timu ya Taifa ya Ufaransa pia anapewa nafasi kubwa ya kushinda Golden Glove kutokana kiwango chake ambacho amekionesha tangu kuanza michuano hii mpaka sasa.

Maignan ambaye anakipiga kule AC Milan amejijengea sifa kwa kusoma mchezo mapema. Mara nyingi huonekana akitoka kwa wakati sahihi kuzuia hatari kabla haijafika golini, jambo linalowapa mabeki wa Ufaransa kujiamini zaidi wanapokabiliana na washambuliaji wa kiwango cha juu. Lakini pia amefanya save kadhaa ambazo zimekuwa sawa na kufunga mabao kutokana na umuhimu wake kwa matokeo ya timu.

Maignan akiwa kam Nahodha namba 3 wa kikosi hicho kinachoongozwa na kocha mkuu Didier Deschamps anapewa nafasi kubwa ya kuwa golikipa wa mashindano haya akiwa na Odds 2.75. Je wewe unaona kuwa mlinda mlango huyo anaweza kuwa mshindi?. Beti hapa.

Leave a Comment