Rais Samia Atembelea Kiwanda cha SC Johnson Family cha Chicago Marekani
Global Publishers April 20, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu namna ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani Aprili 19, 2022.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani amepata fursa ya kutembelea kiwanda cha SC Johnson Family kilichopo Chicago ambacho kinahusika na kutengeneza viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti wadudu wanaodhuru waenezao magonjwa mbalimbali.
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family wakati alipotembelea kiwanda kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani Aprili 19, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family na Ujumbe wake, kabla ya kutembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani Aprili 19, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiangali Wadudu wa aina mbalimbali waliodhibitiwa, alipotembelea moja ya Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu waharibifu waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani Aprili 19, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. H. Fisk Johnson Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SC Johnson Family na Ujumbe wake, kabla ya kutembelea Kiwanda cha SC Johnson Family kinachotengeneza Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Wadudu wanaodhuru waenezao Magonjwa mbalimbali kilichopo katika mji wa Chicago Nchini Marekani Aprili 19, 2022.