×

Baba, Mama, Mtoto Wapata Ulemavu, Baba Asimulia Alivyokatwa Mguu – Video

Familia ya Mzee Edimundi Malya (63) Mkazi wa Buza Jijini Dar es Salaam ambayo imejikuta katika majonzi mazito baada ya familia nzima kuwa na ulemavu wa viungo hali inayopelekea kushindwa kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Baba na Mama wa familia hiyo wameeleza magumu wanayoyapitia kutokana na hali walizonazo.

Kwa sasa familia hii inahitaji msaada wa chakula na makazi ya kuishi

Unaweza kuwachangia chochote kupitia namba 0682 374 977 Jina Amina Hassan

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment