BINTI wa miaka 7 akutwa amebakwa na kuuawa kwa kunyongwa na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ngosha, uchunguzi wa daktari umethibitisha kuwa binti huyo alitendewa vitendo hivyo vya kikatili. Global TV imefika nyumbani kwa baba wa marehemu Michael Mayal ambaye ameelezea kwa uchungu tukio lilivyotokea..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx