×

Rais Samia Azindua Barabara ya Afrika Mashariki Muda Huu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha leo Tarehe 22 Julai, 2022

Leave a Comment