×

Maajabu ya Magari ya Elon Musk Yanayotumia Umeme na Yanayojiendesha Bila Dereva

Gari linalotumia Umeme na lisilo na Dereva

KAMPUNI ya magari ya Tesla inayomilikiwa na Tajiri namba moja duniani Elon Musk, Ndio kampuni ya kwanza kuwa na magari ya umeme lakini pia yenye uwezo wa kujiendesha lenyewe bila ya dereva kuendesha.

 

Gari hili hutumia teknologia ya “Gprs” kujiongosha Pamoja na “sensor” zilizowekwa ili lisigonge mbele wala nyuma.

Gari linamilikiwa na kampuni ya Tesla ya Elon Musk

Usichokijua kuhusu gari hili ni kuwa halitumi funguo kama gari zingine bali hutumia kadi kufunga na kufungua milango hata kuwasha gari vilevile unaweza kucheza gemu mbalimbali ukiwa ndani ya gari hilo.

Leave a Comment