×

Klabu ya Chelsea ya Uingereza Yaachana Kocha Wake Thomas Tuchel Baada ya Kipigo cha 1-0

Thomas Tuchel afukuzwa kazi Chelsea

BAADA ya kupoteza kwa bao moja bila kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya klabu ya Chelsea imeamua kumfuta kazi kocha huyo baada ya kua na mwenendo mbaya wa matokeo.

 

Chelsea ilicheza mechi yake ya klabu bingwa na kupoteza kwa bao moja bila wakifungwa na Dinamo Zagreb.

 

Huu ni mwendelezo wa matokeo yasiyovutia kwa klabu ya Chelsea chini ya kocha huyo. Chelsea mpaka sasa imepoteza mechi 2 na kushinda mechi tatu na kutoa sare mchezo mmoja.

 

Imeandikwa:Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa mitandao

Leave a Comment