×

Updates Tetemeko La Ardhi: Idadi ya Vifo Uturuki na Syria Yaongezeka Zaidi ya 26,000

 

Wakati zoezi la uokoaji likiingia siku ya 7, idadi ya vifo inazidi kuongezeka. Kwa upande wa Syria kuna vifo 3,575 na Uturuki pekee kuna vifo 24,617

Madhara mengine ni zaidi ya watu Milioni 13.5 wameathirika Nchini Uturuki huku wengine Milioni 5.3 wakipoteza makazi Nchini Syria na kiujumla zaidi ya watu 90,000 wamejeruhiwa.

UTURUKI UPDATES: DAKTARI ATOKWA MACHOZI AKIMTIBU MTOTO ALIYEOKOLEWA KWENYE KIFUSI…

Leave a Comment