×

Huzuni! Mama Asimulia Alivyolipukiwa Na Bomu Kisha Kunusurika Kifo – “Sasa Nimekuwa Mlemavu”-Video

 

Mwanamke aliyeathiriwa na vita aitwaye Charlotte Vimana kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesimulia jinsi bomu lilivyolipuka na kumjeruhi na kumsababishia ulemavu.

Charlote anaeleza jinsi mguu ulivyopoteza nguvu, lakini licha ya kujaribu kukimbia mapigano yanayoendelea nchini humo hakujua ni wapi pa kukimbilia.

Mama huyo anatoa wito kwa wahusika kufanya bidii ya kutafuta amani ili yeye na wakimbizi wengine waweze kurejea katika makazi yao.

Anaeleza hatari za kuishi kambini ikiwemo maambukizi ya magonjwa mbalmbali…

VIDEO CREDIT – VOA

Leave a Comment