×

Sakata la Tanga Cement… Wabunge Wapinga Vikali Kuongezeka kwa bei ya Saruji – Video

Sakatala Kampuni ya Twiga Cement kutaka kuinunua kampuni ya Tanga Cement, linazidi kupamba moto ambapo idadi ya wabunge wanaopinga vikali suala hilo inazidi kuongezeka, huku ikielezwa kwamba endapo kampuni hiyo itauzwa, bei ya saruji itazidi kupaa maradufu.

Wakijadili makadirio ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2023/24, baadhi ya wabunge wamesema ununuzi uliopangwa wenye thamani ya Sh137 bilioni utachochea kupanda kwa bei ya saruji, hasa pale mtengenezaji mkuu atakapofanya matengenezo ya kawaida ya viwanda vyake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Leave a Comment