Rais Samia amemteua Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Amani Abeid Karume kuwa Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
Pia, amemteua Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Semamba Makinda kuwa Mkuu wa Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU)