×

Rais Samia Akutana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya  mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Oktoba 20, 2023.

Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Wa kwanza kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia
Rais Samia akimsikiliza Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe wakati alipomtembelea Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais Samia akijadiliana jambo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe wakati alipomtembelea Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais Samia akipokea zawadi ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais  Samia akiwa ameshika zawadi yake ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu mara baada ya kupewa na Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais Samia akiagana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro watatu kutoka (kulia), Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma wa pili kutoka kulia, Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria Mhe. Jaji George Masaju wa kwanza (kulia), Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia wa pili kutoka kushoto pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo (BMT) Neema Msitha wa kwanza (kushoto) mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.

Leave a Comment