×

Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Watua Tanzania

Aliyekuwa CEO klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akiwa na Arsene Wenger.

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA, Pierluigi Collina, ni miongoni mwa Wajumbe walioambatana na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino kwa ajili ya Mechi ya ufunguzi wa African Football League 2023

Mechi hiyo kati ya wenyeji SimbaSC dhidi ya AlAhly ya Misri inatarajiwa kuchezwa jioni ya leo, Saa 12:00 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Leave a Comment