×

#Exclusive Video: Mfanyabiashara Maarufu Wa Nguo Kariakoo Aangua Kilio Hadharani – Afunguka Mazito


Mfanyabiashara maarufu Kariakoo, Diana Zambi, @diana_international_ agent ameangua kilio cha uchungu kutokana na changamoto anazokutana nazo kwenye biashara yake, ambapo kuna baadhi ya wafanyabiashara wengine, ambao wote wanachukua bidhaa sehemu mmoja, lakini wanapokuja kwenye kuuza biashara wanawaambia wateja, mtu fulani anauza bidhaa feki wakati wote wananunua bidhaa sehemu moja.

Akifanya mahojiano na Global Tv online, Diana ambaye amesota sana katika biashara yake mpaka hapo alipofika, alisema kuna kitu kizuri sana katika biashara hasa kwa upande wa wanawake ni kupendana na kukubali biashara ya mwenzako na sio majungu, maana hayajengi yanarudisha nyuma.

Leave a Comment