Mbunge wa Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amewashukuru viongozi wote wa dini nchini, waumini na Watanzania wote kwa maombi yao ambayo yamesababisha Kimbunga Hidaya kisilete madhara makubwa nchini.