Billnass feat Jux – Maboss (Visualiser)
Global Publishers
May 31, 2024
0 Comments
Habari ya mjini kwa sasa ni mkwaju mpya wa mastaa wa Bongo Fleva, @billnass na @juma_jux uitwao Mabosi!
Unaambiwa mkwaju huo umeshaanza kuwa ‘talk of the town’, wengi wakiwavulia kofia mabosi hao wapya mjini.