×

Ufunguzi Wa Maonesho Ya 48 Ya Bishara Ya Kimataifa Ya Dar (Picha +Video)

Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufungua Rasmi Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais Samia akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakishiriki ufunguzi wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) ambapo Rais Nyusi ni Mgeni Rasmi, leo tarehe 03 Juni, 2024 Viwanja vya Sabasaba Temeke Dar es Salaam. Rais Nyusi yuko nchini kwa Ziara ya Kiserikali.

Leave a Comment