×

Rais Samia Atengua Uteuzi wa January Makamba – Video

January Makamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa January Makamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Nafasi yake imechukuliwa na Balozi Mahmoud Kombo ambaye alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia

Leave a Comment