×

MANCHESTER DERBY KUKUPA MKWANJA LEO

Unaweza kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia mchezo mkali ambao utapigwa leo ambao utawakutanisha mahasimu kutoka jiji la Manchester ambao ni Man United vs Man city kwenye mchezo wa Ngao ya hisani.

 

Vilabu hivi vitakwenda kwenye mchezo huu kuhakikisha kila mmoja anauanza msimu vizuri kwa kushinda mchezo huu wa Ngao ya hisani, Hivo ni mchezo mkali ambao utakua unaweza kukupatia mkwanja wa kutosha kupitia Odds Bomba zilizowekwa pale Meridianbet.

 

Manchester City walicheza mchezo wa Ngao ya hisani msimu uliomalizika dhidi ya klabu ya Arsenal na kuishia kwa kupoteza mchezo huo, Hivo mchezo wa leo dhidi ya Man United watautolea macho kweli kweli kuepusha kutokea yaliyotokea msimu uliomalizika.

 

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

 

Manchester Derby leo imefanikiwa kupewa Odds nzuri pale Meridianbet kwani Man United wamepewa Odds bomba halikadhalika Man City, Hii inakupa fursa wewe mteja wa kushinda maokoto ukiweka jamvi lako kupitia mchezo huu.

 

Ikumbukwe mchezo wa mwisho wa Ngao ya hisani vilabu hivo vilipokutana ilikua mwaka 2011, Ambapo Man United ilifanikiwa kushinda kwa mabao matatu kwa moja hivo swali kubwa ni je City watakubali kuendeleza uteja mbele ya Man United?

 

Leave a Comment