×

Makalla Akutana na Wenyeviti Wateule CCM Kinondoni

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni katika Ukumbi wa Kiramuu Hall, leo  Novemba 04, 2024.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wagombea wateuliwa katika nafasi ya wenyeviti uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, kutobweteka kwani uchaguzi hautapita bila kupingwa.

Makalla ametoa agizo hilo alipozungumza na viongozi na wanachama wa chama hicho Wilaya ya Kinondoni ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake katika Mkoa wa Dar es salaam na Pwani.

Leave a Comment