Global TV imekuandalia makala maalum ya Rais Mteule wa Marekani, DOnald Trump ambaye anaamini kwamba kufeli ni dhambi.
Yapo mengi utakayojifunza kutoka kwa Trump kupitia makala haya ambayo yatakujia kwa urefu usiku wa leo Jumapili kupitia Youtube, Global TV!