×

Mabehewa 264 ya mizigo ya SGR Yawasili Nchini – Video


Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kwa Watanzania kuhusu kuwasili kwa mabehewa ya mizigo 264 yaliyotengenezwa nchini China.

Mabehewa hayo yamewasili Desemba 24, 2024 katika Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya Reli ya Kisasa (SGR).

Leave a Comment