×

JKT Watangaza Msako Kwa Waliogushi Vyeti na Kujipatia Ajira

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa onyo kwa baadhi ya vijana wanaogushi cheti cha Jeshi hilo kwa ajili ya kupata ajira kwenye taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi

Akizungumza na Waandishi wa Habari machi 13, 2025 Kaimu kuu wa Tawi la utawala JKT Kanali Juma Mrai amesema kuwa Jeshi hilo limebainj uwepo wa vyeti vyeki ambavyo vimegushiwa na baadhi ya vijana ili wapate ajira katika Taasisi za Serikali na binafsi