×

Rais Samia Apokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina hapa Tanzania, Salam Abu Sharar, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya hapa Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule waJamhuri ya Serbia hapa Tanzania, Mhe. Jovica Tupalovic, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Côte d’Ivoire hapa Tanzania, Mhe. MaesEnnio, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone hapa Tanzania,  Luteni Jenerali Mstaafu Peter Kakowou Lavahun, Ikulu JijiniDar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Dkt. Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Israel hapa Tanzania, Gideon Behar, Ikulu JijiniDar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.
Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Ghana hapa Tanzania, Mhe. Paul Evans Aidoo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Aprili, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mabalozi hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 24, 2026.

Leave a Comment