×

Espanyol vs Levante: Vita ya Kukwepa Kushuka Daraja Yapamba Moto

Mechi ya leo kati ya Espanyol na Levante katika Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) inatarajiwa kuwa ya kusisimua kwani timu zote zinakimbilia kufikia malengo tofauti ya msimu.

Espanyol wanacheza uwanjani kwao, RCDE Stadium, wakiwa na nafasi nzuri ya kujihakikishia usalama wa kukaa kwenye ligi, huku Levante wakiwa kwenye mtego wa kushuka daraja . Mechi hii itapigwa kuanzia saa 22:00.

Espanyol wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na matumaini ya kuchukua pointi muhimu za kuwakwepa wapinzani wao. Hata hivyo, wameshindwa kushinda katika mechi zao tano za mwisho kwenye Ligi (sare nne na kupoteza moja) jambo linaloonyesha wana tatizo la kumaliza nafasi .

Levante wanaangalia namna ya wao kukwepa eneo la kushuka daraja wakiwa na matumaini ya kuokoa nafasi, ingawa wanakaa katika nafasi mbili za mwisho kwenye msimamo wa ligi na Real oviedo . Timu hiyo hivi karibuni ilifanikiwa kushinda dhidi ya Getafe na mashambulizi ya pembeni.

Timu zote hizi zina historia ya kucheza mechi zenye mabao mengi kwa kuwa mechi zao tano za nyuma zimezidi mabao mawili kati yao . Levante wanaingia kwenye mchezo huu muhimu huku wakiwakosa wachezaji wawili muhimu wa safu ya ushambuliaji kutokana na majeraha Brugue Roger na Elgezabal Udondo Unai

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Espanyol wanakosa viungo muhimu Puado Javi mwenye majeraha na Dolan Tyrhys mwenye kadi nyekundu lakini wana historia nzuri dhidi ya Levante katika mechi zao za nyumbani, na matumaini yao yapo kwa mchezaji Dmitrovic (mlinda mlango) na ushambuliaji Roberto Fernández ambao wanatarajia kurejea kuanza mchezo. Jisajili

Leave a Comment