
Rais Samia Samia Suluhu Hassan Mei 12, 2026 amerejea nchini Tanzania akitokea Uganda baada ya kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni, zilizofanyika jijini Kampala Mei 12, 2026.
Ziara hiyo ya Rais Samia nchini Uganda ilikuwa sehemu ya kuaimarisha ushirikiano na uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Uganda pamoja na mataifa mengine ya Afrika Mashariki.
Sherehe za uapisho wa Rais Museveni zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa nchi na Serikali kutoka mataifa tofauti barani Afrika.