×

Unatafuta Kazi? Hizi Hapa Nafasi za Wahudumu wa Duka, Tuma CV Yako Leo

Je, una shauku ya kufanya kazi kwenye mazingira ya mauzo na huduma kwa wateja? Hii ni fursa yako ya kujiunga na timu yetu.

📍 Eneo la Kazi: Dar es Salaam (Shopping Malls)

Sifa za Mwombaji

  • Awe amehitimu angalau Kidato cha Nne (Form Four).
  • Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
  • Awe mwaminifu, mchapakazi na mwenye nidhamu.
  • Uzoefu katika mauzo au huduma kwa wateja utazingatiwa kama faida ya ziada.

Majukumu ya Kazi

  • Kuhudumia wateja kwa weledi na heshima.
  • Kuuza bidhaa na kufikia malengo ya mauzo.
  • Kupanga na kutunza bidhaa dukani.
  • Kuhakikisha duka linakuwa safi, nadhifu na lenye mpangilio mzuri.

Mshahara na Maslahi

  • 💰 Mshahara: TSh 500,000 kwa mwezi.
  • 🎯 Bonus kulingana na utendaji wa kazi.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Tuma CV yako kupitia WhatsApp kwa namba:

📲 0656 116 023

Waombaji watakaokidhi vigezo watawasiliana nao kwa ajili ya usaili.

Karibu ujiunge na timu yetu!

Leave a Comment