×

Carabao Cup Yafungua Pazia, Vita Kuu Ya Wolves na Port Vale Yaanza

Je unajua kuwa leo hii ni siku yako ya kutimiza zile ndoto zako za muda mrefu?. Tengeneza mkeka wako wenye timu uzitakazo na uanze safari ya ushindi siku ya leo na Meridianbet.

Ligi kuu ya Ureno pia itaanza leo yaani PRIMEIRA LIGA ambapo leo hii Estoril atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Famalicao ambao huu ni mchezo wa kwanza wa ligi huku kila timu ikiwa na hamu ya kupata ushindi mbele ya mashabiki zake.

Msimu uliopita kwenye mechi mbili za msimu Famalicao aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili, hivyo hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji kwani hata msimu huo walipokutana hawakuweza kufunga hata bao moja.

Estoril wanahitaji kushinda mechi hii nyumbani huku uwepo wa mashabiki zao unaweza ukawapa nguvu zaidi ya kujishindia kwenye mchezo huu wa leo kwani Meridianbet tayari imeshakuwekea machaguo zaidi ya 1000 na Odds KUbwa kwenye mtanange huu wa leo.

Lakini pia inawezekana ikawa ni mechi ya kushambuliana kwa zamu kutokana na uwezo wa timu zote mbili kutokupishana sana. Je nani leo hii anaenda kubadilisha maisha yako?. Tengeneza jamvi la ushindi hapa.

Zaidi ya Mamilioni yanakungoja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mashindano ya Carabao Cup Raundi ya kwanza yanatarajiwa kuanza leo ambapo mechi ya kwanza ni hii ya Wolves dhidi ya Port Vale ambao wao wanacheza League Two, huku wenyeji wao wakiwa wameshuka daraja msimu uliopita hivyo watacheza Championship.

Wolves wanaonekana kuwa na faida kubwa kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wa kucheza katika kiwango cha juu, mechi za kombe zimekuwa zikitoa matokeo ya kushangaza mara kwa mara, jambo linalomaanisha kuwa Port Vale wanatakiwa kuwa makini sana kwenye eneo la kuzuia.

Wolves wao wana kikosi chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kutawala mchezo kupitia umiliki wa mpira, pasi za haraka na mashambulizi yenye kasi. Kiwango chao cha kiufundi ni kikubwa zaidi ukilinganisha na wapinzani wao, na hilo linaweza kuwapa nafasi ya kudhibiti mchezo tangu dakika za mwanzo. Jisajili hapa.

Huku Port Vale, huu ni mchezo wa kujipima dhidi ya timu yenye ambayo imekuwa kwenye ligi kuu. Mara nyingi timu za madaraja ya chini hutumia mechi za aina hii kama fursa ya kujitangaza na kuwapa wachezaji wao motisha ya kupambana kwa kiwango cha juu.

Port Vale huenda wakachagua kucheza kwa nidhamu kubwa ya kujilinda, wakisubiri nafasi za kufanya mashambulizi ya kushtukiza au kutumia mipira ya adhabu na kona, ambazo zinaweza kuwa silaha yao muhimu. Je nani kuibuka bingwa siku ya leo?. Beti hapa.

Leave a Comment