×

Video: Wilbroad Slaa Afichua Kilichotokea Wakati Akikamatwa kwa Uhaini

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Wilbroad Slaa, amefanya mahojiano maalum na Global TV, ambapo amefunguka kuhusu maisha yake, safari yake ya kisiasa pamoja na matukio mbalimbali yaliyowahi kumkabili.

Katika mahojiano hayo, Slaa ameeleza kwa kina kuhusu tukio la kukamatwa kwake katika miaka ya 1970, akifichua namna alivyowahi kukabiliwa na kesi ya uhaini.

Mwanasiasa huyo amegusia pia mambo mbalimbali kuhusu historia yake na hali ya kisiasa nchini, huku akitoa mtazamo wake kuhusu matukio aliyopitia katika safari yake ya maisha na siasa.

Leave a Comment