×

Simba Yawapiga Rukwa Bao 3-1 Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

Kikosi cha Timu ya Simba na Rukwa leo katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.
Timu zikiingia uwanjani
Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima akifanya yake.
Mashabiki wa Simba wakishangilia.

Timu ya Simba wameshinda bao 3 -1 dhidi ya Rukwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela leo  mjini Sumbawanga, mabao ya Simba yamefungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 21 kipindi cha kwanza na  Juma Luzio dakika ya 47 na 87. Kwa upande wa Timu ya Rukwa, bao lao limefungwa na Adam Matongwa dakika ya 19 kipindi cha kwanza.

(PICHA: MUSA MATEJA- SUMBAWANGA/GPL)

Leave a Comment