Rais John Magufuli leo ametoa Tsh Mil. 5 kwa Shule ya Sekondari ya Nyerere iliyopo Migori mkoani Iringa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule hiyo. Hii ni baada msafara wake kusimamishwa na wananchi wa eneo hilo na kumtaka mkuu wa shule hiyo kuitumia kuitumia fursa hiyo kufikisha kilio chao.
Rais yuko katika ziara mkoani Iringa ambayo ameianza leo.