×

Mahaba ya Chid Mapenzi kwa Shamsa Usipime!

Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ akiwa na mkewe ambaye ni staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford

UKIMUONA mfanyabishara maarufu Bongo, Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ akiwa anauza duka lake na mkewe ambaye ni staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akiwa amejituliza tu nyumbani siyo kwamba anamtegea bali ni mahaba tu yanamuongoza jamaa huyo kumruhusu apumzike, hapendi kumchosha kila siku awepo dukani.

“Ukiona Shamsa yupo dukani ujue kabisa mimi sipo, nimesafari, lakini kama nipo mjini, siwezi kumruhusu kukaa dukani.

 

Namuonea huruma sana, kuna kipindi anachoka halafu yeye ni mama, ana majukumu mengine anafanya ya nyumbani hivyo anapopumzika ni vizuri,” alisema Chid na kuongeza: