
MKUU wa Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, chenye usajili wa NACTE No. Reg/ANE/029, anapenda kuwatangazia wanafunzi wa ngazi ya cheti (certificate) na Stashahada (Diploma) nafasi za masomo katika muhula wa masomo unaotarajiwa kuanza mwezi Machi, 2021 katika kozi zifuatazo, IT (Information Technology), Business Admnistration, Accountant, Procurement and Supply, Front Office and Hotel management
Chuo kimebobea katika ufundishaji wa vitendo na wengi wamejiariri au kuajiriwa na wengine wamepata nafasi ya kujiunga katika vyuo mbalimbali nchini.
Pia kuna ofa ya kozi fupi za Computer Application, Grafic and Designing na video production. Wasiliana nao kwa namba za simu 0754864361 au 0652835123 au fika chuoni, Mwenge jirani na maghorofa ya jeshi.