×

Baba Alivyomchinja Mtoto wa Kambo Naye Kujiua, Familia Yaanika! – Video

TUKIO la kinyama, la kusikitisha na la aina yake limetokea katika Kijiji cha Kirumba Kigongo Ferry wilayani Misungwi mkoani Mwanza baada ya Baba kumchinja wa mtoto wake wa kambo hadi kumuua.

 

Kaka wa Marehemu na Mama yake wamefunguka namna tukio hilo lilivyotokea.