Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali kwa jina maarufu Harmonize Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na mpenzi wake mzungu Sarah na kufanya sherehe Masaki jijini Dar es Salaam.