×

JPM Azindua Kiwanda cha Kahawa Songwe, Atoa Kauli – Video


RAIS John Magufuli leo Oktoba 4, 2019, amezindua kiwanda cha kukoboa kahawa cha kampuni ya GDH kilichopo Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe chenye uwezo wa kukoboa tani 10 kwa saa. Kiwanda hicho kimejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 7.

 

“Watu wanaochezea fedha za Watanzania tutaendelea kuwatumbua hadi mwisho wa dunia. Hivyo ndugu zangu msiogope, nyie endeleeni kuchapa kazi, asiyefanya kazi na asile, na asiyekula afe.”  – Rais Magufuli, Oktoba 4, 2019.