×

Zijue Silaha za Kivita za Iran Anazotamba kwa Marekani – Video

IRAN ni Jamhuri ya Kiislam yenye kuongozwa kwa kufuata misingi na sheria za Kiislam chini ya kiongozi wa kidini, Ayatollah Sayyid Ali Khamenei,  ambaye ndio kiongozi mkuu mwenye nguvu nchini humo na Mashariki ya Kati.

 

Alichukua madaraka mnamo Juni 4, 1989,  baada ya kufariki kwa kiongozi na muasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Kiislam ya mwaka 1979, Sayyid Ruhollah Musavi Khomeini, aliyefariki Juni 3, 1989.

 

Ayatollah Sayyid Ali Khamenei ndiye kiongozi mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu (commander-in-chief).

Ujue uwezo wa nchi hiyo kivita dhidi ya Marekani inayoongozwa naRais Donald Trump.

TAZAMA SILAHA ZA IRAN

Leave a Comment